Ijumaa, 30 Septemba 2016

MITINDO YA NYWELE KWA WANAWAKE(Rasta)

Mitindo ya rasta za kiafrica toka zamani ni mizuri na inavutia. Rasta zipo katika aina tofauti tofauti na ukisuka zinapendeza. Nimeweka picha mbalimbali ukizependa unaweza kwenda kujaribu kusuka ni style za watu wote wazi hana, wadada hata na wamama.
Unaweza pia kucheck , http://eunicemahundi.com/2015/11/24/mitindo-ya-nywele-kwa-watoto/

0 maoni:

Chapisha Maoni