chumvi ni kiungo muhimu kwa kila mlo pia inaumuhimu mkubwa katika urembo. je una fahamu kwamba chmvi unaweza kuitumia kama scurb na kukuacha ukiwa na ngozi ya kuvutia na nyororo?
matatizo ya chunusi , ukavu katika ngozi, mafuta usoni na hata ngozi iliyokufa usoni ni miongoni mwa mambo yanayowakera warembo wengi na hatimaye kuwafanya watumie vipodozi ambavyo si salama kwa ngozi zao.
kwa kulitambua hilo wataalamu wa urembo wa asili wamegundua kuwa chumvi ni scrub yenye gharama nafuu
CHUMVI
Ambayo kila mtu anaweza kutumia tofauti na urembo mwingine wa ngozi. matumizi ya chumvi yamekuwa na matokeo mazuri katika matatizo mbalimbali ya ngozi japo kuwa si wengi wanalolifahamu hili unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha chumvi haiingii machoni pindi unapotumia

0 maoni:
Chapisha Maoni